Friday, July 19, 2019
Home »
» Matukio Ya Kihistoria Katika Kongamano Kubwa La Kukumbukwa Na Bwana Lililo Fanyika Mwaka Jana - 2018,Mjini Moshi,Kilimanjaro Tanzania.
Matukio Ya Kihistoria Katika Kongamano Kubwa La Kukumbukwa Na Bwana Lililo Fanyika Mwaka Jana - 2018,Mjini Moshi,Kilimanjaro Tanzania.
Katika Kongamano Hili Kubwa,Watu Wengi Walifunguliwa Kutoka Katika Kiti Cha Enzi Cha Shetani,Wagonjwa Walipata Kupona,Ishara Na Miujiza Mbalimbali Ilifanyika Chini Ya Mtumishi Anayetumiwa Na Mungu Kwa Kizazi Hiki Katika Kuweka Maisha Ya Watu Huru Naye Ni,Dr. Bishop King Mwangasa.
0 comments:
Post a Comment