Dr.Bishop Mwangasa

Heavenly Kingdom Ambassadors.

Dr.Bishop Mwangasa

2019,The Year Of Divine Connection.

Dr.Bishop Mwangasa

Pokea Kwa Imani Muujiza Mkubwa Kabla Ya Mwaka Huu 2019 Kumalizika.

Dr. Bishop Mwangasa

Prophetic Calender 2019.

Dr.Bishop Mwangasa

Ikiwa Ulitamkiwa Laana,Leo Naifuta Kwako,Nakutangazia Sasa, Wewe Ni Mbarikiwa Na Mwaka Huu 2019 Utashuhudia Matendo Makuu Ya Mungu Katika Maisha Yako.

Friday, July 19, 2019

Be Connected With Us Always.

Distance Is Not A Barrier,Wherever You Are,God Is Going To Touch Your Life,Receive Your Miracle Right Now In Jesus Name.

Heavenly Kingdom Ambassadors - Dr. Bishop Mwangasa

Heavenly Kingdom Ambassadors,Founder Dr. Bishop King Mwangasa.

Dr.Bishop Mwangasa Akihubiria Kusanyiko Katika Kongamano Kubwa La Kukumbukwa Na Bwana - 2018, Mjini Moshi,Kilimanjaro-Tanzania





Watu Walitoka Sehemu Mbalimbali ,Ndani Na Nje Ya Nchi Pamoja Na Mikoa Jirani Kama Vile Arusha Na Manyara,Kila Aliyefika Alikuwa Na Ushuhuda Wa Kukumbukwa Na Bwana.

Kongamano Kubwa La Kukumbukwa Na Bwana By Dr. Bishop Mwangasa - 2018














Shuhuda Mbalimbali Zilikuwepo ,Mungu Anapokufungua Anakupa Na Ushuhuda ,Kwa Maombi Na Maombezi,Na Ratiba Za Ibada Na Matukio Yote Ya Kanisani Kaa Sambamba Na Ukurasa Huu,Mungu Akakuheshimishe Mwaka Huu.

Heavenly Kingdom Ambassadors Praise And Worship Team





Mungu Hushuka Katikati Ya Sifa Na Kuabudu, Ipo Nguvu Ya Ajabu Katika Kusifu Na Kuabudu,Katika Kusifu Pekee Milango Ya Baraka Inafunguka ,Katika Biblia Paulo Na Sila Walimwimbia Mungu Na Milango Ya Gereza Ikafunguka,Hii Inamaana Ya Udhiirisho Wa Nguvu Za Mungu Zilidhiirika Katikati Ya Sifa Na Kuabudu.

Matukio Ya Kihistoria Katika Kongamano Kubwa La Kukumbukwa Na Bwana Lililo Fanyika Mwaka Jana - 2018,Mjini Moshi,Kilimanjaro Tanzania.















Katika Kongamano Hili Kubwa,Watu Wengi Walifunguliwa Kutoka Katika Kiti Cha Enzi Cha Shetani,Wagonjwa Walipata Kupona,Ishara Na Miujiza Mbalimbali Ilifanyika Chini Ya Mtumishi Anayetumiwa Na Mungu Kwa Kizazi Hiki Katika Kuweka Maisha Ya Watu Huru Naye Ni,Dr. Bishop King Mwangasa.

Thursday, July 18, 2019